Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume (saww) imefanyika wiki Mjini Nakuru - Kenya. Waumini kutoka maeneo mbalimbali ya Kenya na Tanzania walihudhuria katika Hafla hiyo adhimu ya kusherehekea Kuzaliwa kwa Mtume wetu Muhammad (saww) na kujifunza Mafunzo Mengi mazuri kutoka Kwake(Rehma na Amani ziwe juu yake Ahlul-Bayt wake Watoharifu).

4 Desemba 2025 - 12:27

Matukio mbalimbali yaliyojiri katika Maulid ya Mtume (saww) Mjini Nakuru +Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha